🇹🇿 Tanzania • Rahisi • Haraka • Salama

Jihudumie Tanzania

Jukwaa la kukusaidia kupata huduma za serikali, biashara, bidhaa, mafundi, hoteli, elimu, ajira na nyumba sehemu moja. Tafuta unachohitaji au wasiliana nasi tukusaidie.

Taarifa za biashara na watoa huduma zinapaswa kuwa na jina, eneo, namba ya mawasiliano na maelezo ya huduma. Hakiki taarifa muhimu kabla ya kufanya malipo.

Mtu akitafuta huduma kwa simu

Huduma Zote, Sehemu Moja

Tafuta huduma, biashara na taarifa unazohitaji bila kuzunguka sehemu nyingi.

Watu wakifanya biashara na huduma

Unganika na Watoa Huduma

Pata mafundi, wataalamu, wauzaji na biashara kulingana na mahitaji yako.

Huduma za biashara na wateja

Rahisi. Haraka. Kwa Urahisi.

Anza kwa kuchagua aina ya huduma, bidhaa au eneo unalotafuta.

Huduma za Serikali Mtandaoni

Tazama Zote

Chagua huduma unayohitaji ili kufungua mfumo husika. Jihudumie ni jukwaa huru la kuunganisha watumiaji na viungo vya huduma rasmi; usishiriki nywila au taarifa zako za siri.

Tengeneza Invoice na Risiti Yako Mwenyewe Tengeneza hati ya biashara yenye nembo, rangi, taarifa za mteja na jumla ya malipo. Pakua PDF au shiriki WhatsApp.
Fungua Huduma

Unahitaji Huduma Gani? Tukusaidie.

Jaza taarifa fupi hapa chini. Ujumbe utaandaliwa na kufunguka WhatsApp ili tuendelee nawe kwa mazungumzo.

Baada ya WhatsApp kufunguka, bonyeza Send ili ombi lako litufikie.

Tafuta Huduma na Bidhaa Tanzania

Sehemu moja, taarifa nyingi
Nyumbani BIDHAA Hoteli Huduma Mikoa Tangaza